MoviesDB

classic cartoons - Order by Related Videos

HABARI - AZAM TV 19/9/2018HABARI - AZAM TV 19/9/2018
00:42:21September 19, 2018, 4:40 pm
HABARI - AZAM TV 19/9/2018

Channel: Azam TV & Total View: 8715


Tags:
Habari, AzamNews, Francis Mutungi, JUKATA, CHADEMA, Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Polepole


Add Date: September 19, 2018, 4:40 pm & Duration: 00:42:21


Likes: 42 | Dislike: 7


Mbowe akataa kuachia uongozi Chadema na msajili wa vyama awataka viongozi kutovigeuza vyama hivyo kuwa SACCOS.
Kwa hayo na mengine mengi ungana na Charles Hilary na Ivona Kamuntu katika Azam News

Azam TV – Zaidi ya viwanja 1,000 kuuzwa Amboni Tanga

Channel: Azam TV & Total View: 371


Tags:
Tanga, viwanja, halmashauri


Add Date: October 2, 2017, 1:06 pm & Duration: 00:03:16


Likes: 2 | Dislike: 1


Wakazi wa halmashauri ya jiji la Tanga, wameuomba uongozi wa jiji hilo kutoa kipaumbele kwa wazawa wakati wa ugawaji wa viwanja, kwaajili ya makazi, biashara na viwanda.

CCM imekununua kwa shilingi ngapi? lisikie jibu la Mtatiro akihojiwa na Azam TV

Channel: Azam TV & Total View: 131989


Tags:
Azam TV, Azam TWO, azam tv Habari, ccm, CUF, Mtatiro ahaa CUF


Add Date: August 13, 2018, 11:17 am & Duration: 00:04:22


Likes: 330 | Dislike: 102


CCM imekununua kwa shilingi ngapi? Ni moja ya maswali aliyoulizwa Mtatiro, haya hapa majibu yake
Mmoja ya wakuu na mwanachama mashuhuri zaidi wa Chama wa Wananchi, CUF, Julius Mtatiro, alitangaza siku ya Jumamosi kwamba amejitoa katika chama hicho na kuamua kujiunga na CCM. Leo amezungumza na Azam TV na kuweka bayana “mbivu na mbichi.’

Mtatiro alichukua uamuzi huo akiwa katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi ya chama hicho chini ya Maalim Seif Sharif Hamad.

Wakati anatangaza uamuzi huo alitaja sababu kadha, moja ikiwa ni kuwatumikia waanchi tofauti na angekuwepo CUF, nimezungumza naye katika mahojiano maalum.

HIMID MAO Aachana na Azam FC Atafuta Maisha Mengine Nje

Channel: Global TV Online & Total View: 2936


Tags:
HIMID MAO Aaachana na Azam FC Atafuta Maisha Mengine Nje, NAHODHA, AZAM FC, NJE YA NCHI


Add Date: May 31, 2018, 12:04 pm & Duration: 00:04:45


Likes: 7 | Dislike: 0


HIMID MAO Aaachana na Azam FC Atafuta Maisha Mengine Nje

Nahodha wa Azam FC, Himid Mao ameuomba uongozi wa klabu hiyo umuachie aondoke.

Hamid ameomba kwenda kucheza nje ya nchi na tayari amesema ameishapata klabu mpya.

Kiungo huyo anataka kwenda kucheza nje akianza na majaribio na uongozi wa Azam FC, umekubali.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema wanaona ni sahihi kumpa nafasi Himid akajaribu bahati yake.
lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

Huyu hapa Aliyewaua Azam , Stand 2 -1 united vs Azam

Channel: ShutikaliTV & Total View: 2413


Tags:
AYO TV, TFF, VPL, LIGI KUU, OKWI, SIMBA VS NDANDA, GOLI LA OKWI VS NDANDA, SHUTIKALITV, MPIRA WA MIGUU, SOKA LA BONGO, AJIBU, CHIRWA, USM alger vs yanga


Add Date: May 7, 2018, 3:12 am & Duration: 00:01:38


Likes: 3 | Dislike: 1


Kufuatia kupoteza mchezo wake wa jana katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United ya mjini Shinyanga, uongozi Azam umeeleza sababu iliyopelekea kufungwa.

Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Jaffar Idd Maganga, amesema kuwa Azam imepoteza mechi ya jana kutokana na wenyeji kutumia vema faida ya Uwanja wao wa nyumbani.

Maganga ameeleza kuwa Stand walionesha juhudi za kuhitaji matokeo, lakini wamekubali walichokivuna na sasa nguvu zao ni kujiandaa dhidi ya Tanzania Prisons.

Kikosi hocho kinatarajia kuanza safari ya kurejea leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons.

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 26/10/2018MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 26/10/2018
00:18:41October 26, 2018, 3:21 pm
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 26/10/2018

Channel: Azam TV & Total View: 2044


Tags:
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI, Soka, Riadha, Michezo Tanzania, #AfconQualifiers, Ligi Kuu Tanzania, Yanga SC, Bodi ya Ligi, Boniface Wambura, Baruhan Muhuza, Simba SC, Azam FC, Wachezaji, Ndondi, Masumbwi, Vitasa, Emmanuel Amunike, Mbwana Samatta, AzamSports2


Add Date: October 26, 2018, 3:21 pm & Duration: 00:18:41


Likes: 14 | Dislike: 2


Bodi ya Ligi Kuu yaziweka viporo baadhi ya mechi zinazovihusu vilabu vya Azam FC, Yanga SC na Simba SC kuruhusu wachezaji kujiunga na kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya maandali ya #AfconQualifiers dhidi ya Lesotho na uongozi wa Alliance FC wakiri kuachana na benchi la ufundi.
Fatma Abdallah Chikawe ndiye anayekuletea habari zote kiundani ndani ya MSHIKEMSHIKE VIWANJANI

EXCLUSIVE: Juuko Murshid atoa neno baada ya kurejeshwa kikosini Simba, uongozi nao wafunguka

Channel: Azam TV & Total View: 39768


Tags:
AzamTV, AzamTWO, UFMRadio, HabariAzamTV, TaarifaYaHabari, Habari, Azam Sports2, Simba, Clabu ya Simba, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, Ndanda FC, Beki kisiki Juuko Murshid


Add Date: September 12, 2018, 2:00 pm & Duration: 00:02:35


Likes: 146 | Dislike: 18


Wakati Simba ikielekea kucheza mechi yake ya kwanza ya ugenini katika msimu huu wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara dhidi ya Ndanda FC, beki kisiki Juuko Murshid amerejea rasmi kujiunga na timu hiyo baada ya kukosekana kwa kipindi cha zaidi ya miezi mitatu.

MAGOLI: AZAM FC 1-1 JAMHURI SC (MAPINDUZI CUP - 02/01/2019)

Channel: Azam TV & Total View: 13664


Tags:
Highlights, Magoli, goals, goal, Azam TV, Azam Sports, michezo, soka, soccer, Tanzania, Kombe la Mapinduzi, Mapinduzi Cup, Zanzibar, Amaan, Mapinduzi Cup 2019, Jamhuri, Azam FC, Azam vs Jamhuri


Add Date: January 3, 2019, 2:38 am & Duration: 00:03:26


Likes: 36 | Dislike: 3


Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi, Azam FC, wamefungua pazia la michuano mwaka 2019 kwa kutoka sare bao 1-1 dhidi ya Jamhuri, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mechi hiyo iliyokuwa na upinzani kwa pande zote mbili, ilishuhudiwa Azam FC ikianza kuandika bao la uongozi dakika ya 28, lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Tafadzwa Kutinyu, kwa mkwaju wa penati uliotokana na Emmanuel Balele, kuunawa mpira wakati akiokoa shuti la mfungaji wa bao hilo.

Jamhuri iliyocheza kwa nidhamu kubwa kwenye eneo la ulinzi hadi kufanikiwa kuwabana washambuliaji wa Azam FC, ilipata bao la kusawazisha dakika ya 66 lililofungwa na Abdul Ramadhan, bao lililowafanya kuambulia pointi hiyo moja.

HABARI - AZAM TV 15/1/2019HABARI - AZAM TV 15/1/2019
00:52:10January 15, 2019, 2:42 pm
HABARI - AZAM TV 15/1/2019

Channel: Azam TV & Total View: 2266


Tags:
habari, Rais Magufuli, Maendeleo


Add Date: January 15, 2019, 2:42 pm & Duration: 00:52:10


Likes: 6 | Dislike: 2


Mlipuko watikisa Kenya na milio ya risasi yarindima huku ugaidi ukitajwa kuhusika na Serikali na kampuni ya Bharti Airtel zasainin makubaliano ya kiutendaji yanayohusisha kuongezeka kwa hisa za Serikali kufikia asilimia 49 kwenye kampuni ya Airtel.

Charles Hilary na Rose Mrutu ndio wasomaji wetu wa leo.

Azam TV – Rais, mawaziri, sasa kutibiwa Muhimbili tuAzam TV – Rais, mawaziri, sasa kutibiwa Muhimbili tu
00:01:48September 25, 2017, 12:40 pm
Azam TV – Rais, mawaziri, sasa kutibiwa Muhimbili tu

Channel: Azam TV & Total View: 694


Tags:
No Video Tags


Add Date: September 25, 2017, 12:40 pm & Duration: 00:01:48


Likes: 4 | Dislike: 0


Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, ameuagiza uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kutotoa vibali kwa viongozi wakubwa nchini kutibiwa hapa na hakuna kwenda nje mpaka kwa ruhusa maalum.

Azam TV – Hii ndio TFF aitakayo MwakyembeAzam TV – Hii ndio TFF aitakayo Mwakyembe
00:02:47August 12, 2017, 3:36 am
Azam TV – Hii ndio TFF aitakayo Mwakyembe

Channel: Azam TV & Total View: 551


Tags:
No Video Tags


Add Date: August 12, 2017, 3:36 am & Duration: 00:02:47


Likes: 2 | Dislike: 1


Wakati wajumbe wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) wakiwa na jukumu la kumchagua rais wa chombo hicho muhimu, waziri wa michezo nchini Dkt. Harrison Mwakyembe, ametaja mabadiliko yanayohitajika baada ya kupatikana uongozi mpya.

Uongozi Wa Azam FC Wafanya Ziara Ya tathmini Mkoani Tanga

Channel: SIMU. Tv & Total View: 79


Tags:
No Video Tags


Add Date: December 5, 2015, 10:33 am & Duration: 00:01:43


Likes: 1 | Dislike: 0


Uongozi wa club ya Azam FC, wametoa tatmini ya kiutawala katika ziara yao ya siku nne iliyofanyika mkoani Tanga.

HABARI - AZAM TV 7/9/2018HABARI - AZAM TV 7/9/2018
00:42:56September 7, 2018, 3:29 pm
HABARI - AZAM TV 7/9/2018

Channel: Azam TV & Total View: 3630


Tags:
Azam TV, Azam TWO, Azam TV Habari, Habari, Rose Mrutu, Raymond Nyamwihula, Rais Magufuli, Ziara ya Rais Magufuli


Add Date: September 7, 2018, 3:29 pm & Duration: 00:42:56


Likes: 19 | Dislike: 1


Rais Magufuli amesema wananchi wa mji wa Nyamongo wanaosubiri kulipwa fedha na Mgodi wa Acacia North Mara kamwe hawatalipwa fedha hizo huku akimuagiza Mkuu wa mkoa na watendaji wengine kuhakikisha wale wote waliotegesha makazi hawapati nafasi ya kulipwa.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali iliyoua watu 11 Jijini Mbeya na wengine 15 kujeruhiwa iliyohusisha magari matano likiwemo gari dogo la abiria (Daladala) iliyotokea katika Mlima Igawilo mkoani humo.

Jamii ya wavuvi kwenye fukwe ya Kunduchi jijini Dar es Salaam watoa madai ya vitendo vya kupigwa na kusumbuliwa na vyombo vya usalama jambo walilodai limesababisha kusitisha shughuli za uvuvi katika eneo hilo kwa takriban siku Tano.

HABARI - AZAM TV 14/1/2019HABARI - AZAM TV 14/1/2019
00:46:39January 14, 2019, 2:07 pm
HABARI - AZAM TV 14/1/2019

Channel: Azam TV & Total View: 2039


Tags:
Siasa, Mwanri, Maendeleo


Add Date: January 14, 2019, 2:07 pm & Duration: 00:46:39


Likes: 10 | Dislike: 1


Umeme wakwamisha ubanguaji wa korosho mkoani Mtwara na mkuu wa mkoa wa Tabora, Agrey Mwanri aagiza uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya mkandarasaio anayejenga mradi wa maji kutoka Ziwa Victori baada ya kubaini 'madudu'.

Kwa hayo na mengine mengi ungana na Charles Hilary na Rose Mrutu.

Azam TV - WEDNESDAY NIGHT (11/10/2017) Wagombea uongozi Bodi ya Ligi wamwaga sera

Channel: Azam TV & Total View: 669


Tags:
No Video Tags


Add Date: October 12, 2017, 6:35 am & Duration: 01:02:50


Likes: 7 | Dislike: 0


Uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi wa Bodi ya Ligi Tanzania Bara:
Wasikilize wagombea wa nafasi za Mwenyekiti, Ahmad Yahya na mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Shani Christorms Mligo ndani ya Wednesday Night.

Uongozi wa Azam ukizungumzia mchezo wao dhidi ya Mbabane Swallows ya Swaziland

Channel: MCL Digital & Total View: 188


Tags:
Mwananchi, Thecitizen, Mwanaspoti, habari, news, taarifa Tanzania


Add Date: March 7, 2017, 8:57 am & Duration: 00:02:52


Likes: 2 | Dislike: 0


MAGOLI YOTE: YANGA SC 3-1 MWADUI FC (TPL – 15/01/2019)

Channel: Azam TV & Total View: 233929


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 15, 2019, 11:32 am & Duration: 00:06:15


Likes: 921 | Dislike: 185


Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameendeleza ubabe wao kwenye ligi hiyo msimu huu baada ya leo kuiadhibu Mwadui Fc kwa kipigo cha mabao 3-1, mchezo ukipigwa kuanzia saa 1:00 usiku kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Ajibu kwa ‘free-kick’ dakika ya 12, Amissi Tambwe dakika ya 39 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu na Feisal Salum kwa shuti kali nje ya 18 dakika ya 58 huku bao la kufutia machozi la Mwadui likifungwa na Salim Aiyee dakika ya 82.

Mbali na kupatikana kwa mabao hayo, Ibrahim Ajibu alikosa mkwaju wa penati iliyopanguliwa na golikipa wa Mwadui FC Anold Masawe dakika ya 19.

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 53 na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi huku wanaowafuatia Azam Fc wakiwa na pointi 40 na mchezo mmoja mkononi.

Azam TV - Kenya yajazwa mijihela ikikabidhiwa kombe la ubingwa wa CECAFA2017

Channel: Azam TV & Total View: 7504


Tags:
No Video Tags


Add Date: December 17, 2017, 9:04 am & Duration: 00:03:26


Likes: 18 | Dislike: 3


Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars imetwaa rasmi ubingwa wa michuano ya CECAFA mwaka 2017 baada ya kuitandika Zanzibar Heroes penati 3-2.

Kufuatia ubingwa huo, uongozi wa kaunti ya Machakosi umekimwagia kikosi hicho mahela mbali na zawadi ya dola za kimarekani milioni 30.

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 6/10/2018MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 6/10/2018
00:25:40October 6, 2018, 3:11 pm
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 6/10/2018

Channel: Azam TV & Total View: 11605


Tags:
Tanzania Premier League, Soka, michezo, ligi, ligi kuu, Azam, Azam TV, Azam TV App, Goli, bao, mabao, magoli, Tanzania Prisons, Mbeya City, Prisons, Tanzania Prisons vs Mbeya City, Sokoine, Mbeya, Prisons vs Mbeya City, Mbeya Derby


Add Date: October 6, 2018, 3:11 pm & Duration: 00:25:40


Likes: 60 | Dislike: 11


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Simba Sc imeichapa African Lyon mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa dar es Salaam.

Uongozi wa Klabu ya Simba umefunguka kuhusu hatma ya kocha wake msaidizi Masoud Djuma ndani ya klabu hiyo na kunyoosha maelezo kuwa kocha klabu hiyo itatoa tamko la kuachana naye.

Wajelajela Tanzania Prisons leo wamelala kwa kipigo cha mabao 2-1 kutoka Mbeya City katika mchezo wa Dabi ya Mbeya (Mbeya derby) uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

HABARI - AZAM TV IJUMAA 10/8/2018HABARI - AZAM TV IJUMAA 10/8/2018
00:54:32August 10, 2018, 2:33 pm
HABARI - AZAM TV IJUMAA 10/8/2018

Channel: Azam TV & Total View: 3693


Tags:
habari, azam two, mzee majuto, king majuto, polisi, elias mbise kupingwa na polisi, mwandishi kupingwa na polisi, mtobozano mgodi wa madini, azam news, majuto kuzikwa


Add Date: August 10, 2018, 2:33 pm & Duration: 00:54:32


Likes: 19 | Dislike: 2


Jeshi la Polisi laanza uchunguzi sakata la mwandishi wa habari kupigwa na kundi la maafisa wa jeshi hilo. Maelfu ya watanzania wajitokeza kumzika Mzee Majuto. Kwa habari hizi na nyingine nyingi

PAC YAUKABA UONGOZI WA UDSM MKATABA MBOVU WA MLIMANI CITY

Channel: Azam TV & Total View: 572


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 18, 2018, 10:31 am & Duration: 00:04:12


Likes: 3 | Dislike: 0


Balozi Mahiga ataka wanafunzi wa Diplomasia wafundishwe diplomasia ya viwanda

Channel: Azam TV & Total View: 1091


Tags:
Balozi Mahiga, Augustine Mahiga, Diplomasia, Chuo cha Diplomasia


Add Date: January 19, 2019, 12:41 am & Duration: 00:02:08


Likes: 9 | Dislike: 0


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Augustine Mahiga ametaka uongozi na wakufunzi wa chuo cha Diplomasia kuhakikisha wanawafundisha wanafunzi wa chuo hicho diplomasia ya viwanda kuendana na zama zilizopo sasa.

MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018
00:21:06November 1, 2018, 3:10 pm
MSHIKEMSHIKE VIWANJANI - AZAM TV 1/11/2018

Channel: Azam TV & Total View: 3445


Tags:
michezo, soka, kandanda, Simba SC, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, Ligi Kuu Tanzania, Mkutano Mkuu Simba SC, Uchaguzi Mkuu Simba SC, Bodi ya Ligi, Uchaguzi Mkuu Yanga SC, Mkutano Mkuu Yanga SC, Haji Manara, Dismas Ten, Tanzania Football Federation


Add Date: November 1, 2018, 3:10 pm & Duration: 00:21:06


Likes: 20 | Dislike: 4


Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike ajinasibu kuwa safari hii, Stars ni lazima ifike Afcon na wagombea uongozi ndani ya Simba SC wamwaga sera zao mbele ya wapiga kura.
Kwa mengi ya kimichezo ungana na Ahmed Abdallah ndani ya Mshikemshike Viwanjani

Uongozi Yanga SC wafunguka sakata la Heritier Makambo kutoweka

Channel: Azam TV & Total View: 6222


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 15, 2019, 9:55 am & Duration: 00:01:36


Likes: 19 | Dislike: 5


Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo amekata mawasiliano na uongozi wa timu hiyo, Msemaji wa Yanga Dismas Ten anaeleza mahali aliko mchezaji huyo.

Azam TV – Tangazo la CUF Maalim dhidi ya uamuzi wa Spika

Channel: Azam TV & Total View: 352


Tags:
No Video Tags


Add Date: July 29, 2017, 8:09 am & Duration: 00:02:27


Likes: 2 | Dislike: 1


Baraza Kuu la uongozi wa Chama cha Wananchi CUF, uapande wa Maalim Seif Sharif Hamad, limetangaza maazimio saba ikiwemo kutotambua kuvuliwa uanacha na ubunge wa wabunge wake nane.