MoviesDB

easy - Order by Related Videos

LUSINDE AWALIPUA WAPINZANI, NI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA

Channel: DARMPYA TV & Total View: 1914


Tags:
siasa


Add Date: December 17, 2018, 6:51 am & Duration: 00:08:38


Likes: 27 | Dislike: 6


Mlinga Awalipua Wapinzani Bungeni, "Mnatukana Matusi Hamna Jema"

Channel: Global TV Online & Total View: 3485


Tags:
ACKSON TULIA, ATCL, GOODLUCK MLINGA, LUSINDE, DAVID SILINDE, MARTHA MLATA, SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA, JOB NDUGAI, MUSA AZZAN ZUNGU, MBUNGE MLINGA, ZITTO KABWE, NAPE NNAUYE, SALOME MAKAMBA, SAED KUBENEA, RAIS MAGUFULI, SELASINI, MSIGWA, MSUKUMA, HAMIDU BOBALI, MCHENGELWA


Add Date: April 25, 2018, 7:00 am & Duration: 00:04:25


Likes: 15 | Dislike: 4


Mlinga Awalipua Wapinzani Bungeni, "Mnatukana Matusi Hamna Jema"

Mbunge wa jimbo la Mlinga, Goodluck Mlinga, amesema kwa kawaida binadamu akitaka kuomba jambo lolote ni lazima kwanza aanze kwa kusifia lakini ni tofauti kwa wapinzani kwani tangu Bunge hilo limeanza wamekuwa wakikosoa kila mradi wa maendeleo uliofanywa na serikali pasi na kusifia hata mradi mmoja.

lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

KOCHA Yanga Awalipua Wachezaji/ Amtaja Tambwe, AjibuKOCHA Yanga Awalipua Wachezaji/ Amtaja Tambwe, Ajibu
00:07:54October 30, 2018, 2:42 pm
KOCHA Yanga Awalipua Wachezaji/ Amtaja Tambwe, Ajibu

Channel: Global TV Online & Total View: 7728


Tags:
KOCHA YANGA, MWINYI ZAHERA, ZAHERA, YANGA, LIPULI, TAMBWE, AJIBU, KAMUSOKO, MATHEO ANTOHNY, GODFREY NGANYAYA, GADIEL MICHAEL, MAKMBO, NGASSA, KOCHA Yanga Awalipua Wachezaji/ Amtaja Tambwe, Ajibu, GLOBAL TV ONLINE


Add Date: October 30, 2018, 2:42 pm & Duration: 00:07:54


Likes: 11 | Dislike: 6


KOCHA Yanga Awalipua Wachezaji/ Amtaja Tambwe, Ajibu

Timu ya Yanga imeendeleza moto wake ndani ya Ligi kuu baada ya kufankiwa kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya Lipuli uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Yanga wamecheza michezo tisa mpaka sasa wakiwa wameshinda michezo nane na kutoa sare mchezo mmoja tu dhidi ya Simba.

Mchezo huo ambao Lipuli walizidiwa maarifa kipindi cha kwanza baada ya kuweza kuruhusu bao la mapema lililofungwa na Herietier Makambo dakika ya tisa baada ya kupokea pasi kutoka kwa Mrisho Ngassa.

Ushindi huo unawarejesha nafasi ya pili ambayo ilikuwa imekaliwa na Simba, Yanga wamecheza michez 9 na kujikusanyia pointi 25 huku Simba wakiwa na Pointi 23 na vinara wa ligi Azam wamekusanya pointi 27.

SUBSCRIBE: Global TV Online: http://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: http://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: http://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: http://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: http://goo.gl/2jDyho

LIPUMBA AITIKISA ZANZIBAR/ATUA KWA KISHINDO/AMCHAMBUA MAALIM SEIF KAMA KARANGA/AWALIPUA CHADEMA

Channel: ICON TV TZ & Total View: 12097


Tags:
No Video Tags


Add Date: August 16, 2018, 2:09 pm & Duration: 00:56:03


Likes: 34 | Dislike: 18


Mwenyekiti wa chama cha wananchi Cuf profesa Ibrahimu Lipumba leo amewahutubia Wazanzibar kwa mara ya kwanza tangu arejee katika nafasi yake ya uenyekiti baada kutangaza kujiuzulu

KAMBAYA AWALIPUA VIBAYA ZITTO KABWE,MAALIM SEIF,HASHIM RUGWE NA MASHINJI

Channel: ICON TV TZ & Total View: 4187


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 1, 2019, 8:15 am & Duration: 00:05:45


Likes: 20 | Dislike: 15


Mkurugenzi wa habari kupitia chama cha wananchi Cuf Abdul Kambaya ameelezea sababu za wao kutoshirikia na vyama vyengine vya upinzani ambayo vimeungana kupinga muswada wa sheria namba 5 ya vyama vya siasa ambayo imepitishwa kwa madai ya kuwa ni kandamizi na ni hatari kwa vyama vya siasa

MLINGA BUNGENI: Awalipua BIKO na TATU MZUKAMLINGA BUNGENI: Awalipua BIKO na TATU MZUKA
00:09:04June 4, 2018, 8:49 am
MLINGA BUNGENI: Awalipua BIKO na TATU MZUKA

Channel: Global TV Online & Total View: 16445


Tags:
DAVID SILINDE, LUSINDE, SPIKA WA BUNGE, GODDLUCK MLINGA, JOB NDUGAI, ZITTO KABWE, NAPE NNAUYE, BUNGENI DODOMA, TULIA ACKSON, MUSA AZZAN ZUNGU, SELASINI, MSUKUMA, MSIGWA, SAADA MKUYA, MARTHA MLATA, HAMIDU BOBALI, ALLY KEISSY, MBARAKA DAU, HALIMA MDEE, HALIMA BULEMBO, WAZIRI WA FEDHA, DKT PHILIP MPANGO, GODBLESS LEMA, BIKO, TATU MZUKA, MCHEZO WA KAMALI, BOT


Add Date: June 4, 2018, 8:49 am & Duration: 00:09:04


Likes: 72 | Dislike: 9


MLINGA BUNGENI: Awalipua BIKO na TATU MZUKA

Mbunge wa jimbo la Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga, akichangia hoja katika mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya Fedha na Mipango iliyowasilishwa Bungeni na Waziri mwenye dhamana, Dkt Philip Mpango.

lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

MBUNGE CCM AWALIPUA VIKALI VIONGOZI WANAOKEBEI WARAKA WA VIONGOZI WA DINI

Channel: Poncian Tv & Total View: 3453


Tags:
UMBEA, UCHAWI, MAFURIKO, PAUL MAKONDA, MAHAKAMA, HARMONIZ, RAYVAN, DOGO JANJA, MAKONDA, PONCIAN TV, AYO TV, DIAMOND PLATNUMZ, HALI YA TUNDU LISSU, TUNDU LISSU KENYA, ZITTO KABWE, RAIS MAGUFULI, AZAM TV, SIMU TV, BABU SEYA, PAPII, KOCHA, PAPI, BUNGENI LEO


Add Date: April 24, 2018, 4:59 am & Duration: 00:02:30


Likes: 13 | Dislike: 4


“Wakihubiri kuhusu kuzini au kuiba Mnashangilia lakini wakihubiri jambo linalogusa mambo yenu mengine Mnawajia juu, tumerogwa na nani watanzania kudhani kwamba viongozi wa dini wanachokisema ni cha uongo,” amesema Mbunge Kadutu.

MAKONDA AWALIPUA WAKUU WAKE WA WILAYA,ILALA,TEMEKE,NA KINONDONI

Channel: DOM 27 ONLINE TV & Total View: 115


Tags:
No Video Tags


Add Date: December 28, 2018, 6:13 am & Duration: 00:02:01


Likes: 2 | Dislike: 1


Bomboko awalipua vijana wa CCM, ni kuhusu mitandao yakijamii

Channel: lemutuz online tv & Total View: 350


Tags:
CCM CHADEMA UKAWA SIASA


Add Date: January 5, 2019, 1:14 am & Duration: 00:11:30


Likes: 10 | Dislike: 0


Hakuna siri Tena LINAH awalipua wasafi na clouds | Chanzo kikubwa cha ugonvi wao Chawekwa Hadharani

Channel: Bongovevo & Total View: 1225


Tags:
Bongovevo, Tanzania, Bongo, Tanzania Entertainment, Tanzania sports, Diamond, Alikiba, music, Bongo movie, Bongo music, Bongo 2018, Tanzania music


Add Date: December 4, 2018, 3:28 am & Duration: 00:10:16


Likes: 12 | Dislike: 0


Kazi Yetu ni kukusogezea, habari za mastaa, maisha, picha na videos, habari za michezo na mengine SAA 24. Habari zote za BONGOVEVO zinapatikana hapa kirahisi Bonyeza SUBSCRIBE hapo juu Kisha Alama ya KENGERE itakayokuja utapata notification kila habari mpya inapoingia.

SAKATA LA HAMA HAMA MBUNGE KIZA MAYEYE AWALIPUA WABUNGE WANAOKIMBILIA CCM

Channel: ICON TV TZ & Total View: 3244


Tags:
No Video Tags


Add Date: September 23, 2018, 8:18 am & Duration: 00:10:07


Likes: 16 | Dislike: 0


MAKONDA AWALIPUA WABUNGE WA 3 WA UPINZANI MDEE/ MNYIKA NA KUBENEA

Channel: Ngasa Tv & Total View: 2738


Tags:
Ngasa Tv, NgasaTv, Ngasa, Boss Ngasa, Tanzania, Tanzania politics, Tanzania news, Tanzania Entertainment, Diamond, Alikiba, Bongo movie, Bongo music, Tanzania music


Add Date: November 27, 2018, 12:49 am & Duration: 00:10:56


Likes: 10 | Dislike: 4


Boss Ngasa App : http://play.google.com/store/apps/details?id=com.furahitechstudio.bossngasa&hl=en
Tufollow Instagram : http://www.instagram.com/bossngasadodoma/?hl=en
Facebook Page : http://www.facebook.com/Boss-Ngasa-134216566717904/

STAMINA Awalipua ASLAY na DOGO JANJA, Awaita Wajinga!STAMINA Awalipua ASLAY na DOGO JANJA, Awaita Wajinga!
00:05:27December 18, 2017, 6:15 am
STAMINA Awalipua ASLAY na DOGO JANJA, Awaita Wajinga!

Channel: Global TV Online & Total View: 1519


Tags:
Stamina, Roma, Rostam, Kuoa, Ndoa, Aslay, Dogo Janja, GLOBALTV ONLINE, ASLAY, DOGO JANJA, STAMINA SHOROBWENZI, HIVI AMA VILE?, KIBA100 VIDEO


Add Date: December 18, 2017, 6:15 am & Duration: 00:05:27


Likes: 7 | Dislike: 1


Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

Mwanamuziki wa Hip Hop Stamina amefungukia Ishu ya Kumvisha Pete Mwanamke ambaye anatarajia kumuoa hivi karibuni kuwa ishu hiyo ipo seriously na ameamua kufanya hivyo kutokana na kuona wakati umefikia.

Stamina amesema kuwa ameamua kufanya hivyo kutokana na kuwa na malengo nae binti huyo na amewathibitishia wale waliokuwa wanatoa maoni hayo kama ni kiki yaa nyimbo lakini la hasha Amekanusha.

Hata hivyo mmoja wa watu waliomuhamasisha Stamina mpaka kumvisha pete mchumba wake hiyo ni msanii mwenzake walioshibana kwa sasa Roma Mkatoliki ambao wanajiita Rostam.

FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

JPM Awalipua Washauri Wake "Bora Ufe Wewe"JPM Awalipua Washauri Wake "Bora Ufe Wewe"
03:08:11September 8, 2018, 7:22 am
JPM Awalipua Washauri Wake "Bora Ufe Wewe"

Channel: Global TV Online & Total View: 9800


Tags:
RAIS MAGUFULI, JPM, ZIARA YA JPM SIMIYU, HOTUBA YA JPM SIMIYU, MKUU WA MKOA WA SIMIYU, ANTONY MTAKA, ANDREW CHENGE, WAZIRI WA MMBO YA NDANI, KANGI LUGOLA, WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI, PROFESA MAKAME MBARAWA, WAZIRI WA AFYA, UMMY MWALIMU, ISAAC KAMWELWE, DOTTO BITEKO, STANSLAUS NYONGO, MSAFARA WA RAIS MAGUFULI, GLOBAL TV ONLINE, ACHARUKA, Yaani Bora Ufe Wewe Sio Barabara


Add Date: September 8, 2018, 7:22 am & Duration: 03:08:11


Likes: 52 | Dislike: 14


JPM Awalipua Washauri Wake "Bora Ufe Wewe"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameendelea na ziara yake ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa hapa nchini.

Ambapo leo Septemba 08, ametembea mkoa mpya wa Simiyu na kufanya mkutano wa hadahara wa kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.

Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE:

://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHab

DC AWALIPUA WATU WATAO FANYA VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA UNANGANJIFU

Channel: Mtizamo Huru & Total View: 30


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 9, 2019, 2:27 am & Duration: 00:03:47


Likes: 1 | Dislike: 0


ROMBO YA ZINDUA RASMI UTOAJI WA VITAMBULISHO
KWA MACHINGA LEO.JAN 8.

MHE AGNES E. HOKORORO Mkuu wa Wilaya ya Rombo akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Usalama Wilaya akimkabidhi kitambulisho Bi Catherine Swai kama ishara Ya Uzinduzi rasmi wa Utoaji wa vitambulisho hivyo katika Uwanja wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Mapema leo.Wafanyabiashara 508 walipewa Vitambulisho vyao leo.

Akifafanua sifa za Mjasiliamali mdogo Meneja wa TRA Rombo Mr Hermance Mghase alisema "Mwaka una siku 365, TRA tunatumia siku 300 katika Mwaka kukadiria,hivyo nyie Wafanyabiashara wadogo tunzeni vitabu vyenu vya mauzo ili muweze kujikadiria wenyewe,inatakiwa uchukue milioni nne za mauzo kwa mwaka ugawanye wa siku 300 utaona walau kwa siku mauzo yako yanatakiwa yasizidi shilingi elfu kumi na tatu mia tatu hamsini ili uwe nasifa ya kutolipa kodi ya TRA na ndio unakuwa MACHINGA wa kupewa Kitambulisho hiki, nawaomba sana Mzingatie Masharti yote mliopewa...."

Kabla ya kuzindua rasmi zoezi hilo Mkuu wa Wilaya ya Rombo alisisitiza kwa Kusema:
"..Msitumie vitambulisho hivi kufanya biashara haramu aidha tambueni kuwa fomu hii ya maombi mlioisaini ni ya kisheria atakaedanganya ili kukwepa kodi, sheria itachukua mkondo wake,hiki ni kitambulisho cha mwaka mmoja kama...

M/KITI PAC, Awalipua Mawaziri Wanaomjibu CAG "Nchi Haitatawalika"

Channel: Global TV Online & Total View: 53837


Tags:
GLOBAL TV ONLINE, Ripoti ya CAG, PROFESA MUSA ASSAD, WAZIRI WA VIWANDA, CHARLES TIZEBA, WAZIRI MPINA, WAZIRI WA MIFUGO, LUHAGA MPINA, PAC, LAAC, Naghenjwa Kaboyoka, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), WAZIRI MPANGO, DKT MWAKYEMBE


Add Date: April 16, 2018, 7:02 am & Duration: 00:19:41


Likes: 332 | Dislike: 37


M/KITI PAC, Awalipua Mawaziri Wanaomjibu CAG "Nchi Haitatawalika"

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka amekosoa utaratibu unaoendelea wa mawaziri walioguswa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2016 kuwa si sahihi kujibu hoja zake nje ya Bunge.

Mara baada ya uwasilishaji wa ripoti hiyo wiki hii, mawaziri mbalimbali wakiwamo Dk Phillip Mpango wa Fedha na Mipango, Selemani Jafo (Tamisemi), Dk Harrison Mwakyembe (Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo) na Charles Mwijage wa Viwanda, Biashara na Uwezeshaji, walianza kujibu hoja hizo kupitia mikutano na wanahabari.

Akizungumza baada ya semina iliyotolewa na Taasisi ya Uwajibikaji ya Wajibu kwa kamati tatu za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PAC), Kaboyoka alisema utaratibu huo wa mawaziri kujibu ripoti ya CAG si sahihi.

lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis...

TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe...

KAMBAYA AWALIPUA WALIOTANGAZA NIA YA KUGOMBANIA URAIS 202O

Channel: ICON TV TZ & Total View: 308


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 4, 2019, 12:47 am & Duration: 00:04:48


Likes: 4 | Dislike: 1


NAIBU WAZIRI MASAUNI AWALIPUA WALINZI SHIRIKISHI WANAVUJISHA SIRI ZA JESHI LA POLISI KWA WAARIFU

Channel: ICON TV TZ & Total View: 170


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 5, 2019, 9:45 am & Duration: 00:03:06


Likes: 9 | Dislike: 0


RAISI MAGUFULI AWALIPUA MAJAJI WANAOKULA BATA NJE YA NCHI KIPINDI CHA LIKIZO

Channel: Gervas Maro & Total View: 633


Tags:
No Video Tags


Add Date: February 1, 2018, 12:54 pm & Duration: 00:01:26


Likes: 5 | Dislike: 0


VIDEO :
Mh Raisi Magufuli awaripua majaji wanaokula bata nje ya nchi kipindi cha likizo ...Afunguka mambo mazito.
Msikilize hapa Mh Raisi Magufuli kisha drop comment yako Hapa TAFADHALI.

USAFI WAZUA BALAA DAR ES SALAAM/MAKONDA AWALIPUA MGAMBO WAKE WALIOTEMBEZA KICHAPO KWA RAIA

Channel: ICON TV TZ & Total View: 193


Tags:
No Video Tags


Add Date: September 10, 2018, 9:37 am & Duration: 00:10:45


Likes: 2 | Dislike: 0


GHASIA AWALIPUA WABUNGE WALIOPANGWA KUWACHAFUA WATETEZI USHURU WA KOROSHO

Channel: MCL Digital & Total View: 5574


Tags:
Mwananchi


Add Date: June 25, 2018, 6:37 am & Duration: 00:10:36


Likes: 21 | Dislike: 1


Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo.

MCHUNGAJI AWALIPUA TUME YA UCHAGUZI MBELE YA RAIS MAGUFULI "Sizani Kama Rais Aliwatuma Kufanya Hayo"

Channel: Ngasa Tv & Total View: 29327


Tags:
Ngasa Tv, NgasaTv, Ngasa, Boss Ngasa, Tanzania, Tanzania politics, Tanzania news, Tanzania Entertainment, Diamond, Alikiba, Bongo movie, Bongo music, Tanzania music


Add Date: November 1, 2018, 2:58 am & Duration: 00:18:15


Likes: 98 | Dislike: 31


Boss Ngasa App : http://play.google.com/store/apps/details?id=com.furahitechstudio.bossngasa&hl=en
Tufollow Instagram : http://www.instagram.com/bossngasadodoma/?hl=en
Facebook Page : http://www.facebook.com/Boss-Ngasa-134216566717904/

Huyu Nape Mtu hatari kabisa, Awalipua CCM Vibaya pale Pale kwenye msiba wa Mzee Kingunge bila Uoga

Channel: GILLY BONNY ONLINE TV & Total View: 27126


Tags:
Huyu Nape Mtu hatari kabisa, Awalipua CCM Vibaya pale Pale kwenye msiba wa Mzee Kingunge bila Uoga


Add Date: February 5, 2018, 8:41 pm & Duration: 00:01:52


Likes: 64 | Dislike: 16


Huyu Nape Mtu hatari kabisa, Awalipua CCM Vibaya pale Pale kwenye msiba wa Mzee Kingunge Amewachana sana

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

Cheni Awalipua Mastaa, Lulu atajwa!Cheni Awalipua Mastaa, Lulu atajwa!
00:03:24September 9, 2017, 6:31 am
Cheni Awalipua Mastaa, Lulu atajwa!

Channel: Global TV Online & Total View: 30071


Tags:
CHENI, LULU, Mke wa cheni, Miaka kumi ya ndoa, GLOBALTV ONLINE


Add Date: September 9, 2017, 6:31 am & Duration: 00:03:24


Likes: 64 | Dislike: 13


SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1
Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu staa wa filamu Bongo Mahsein Awadh Dk Cheni asherehekea miaka kumi ya ndoa yake na mkewe sabrina zahrain ameibuka na kufunguka mazito .

Katika sherehe hiyo iliyokuwa ya kihistoria ilifanyika ndani ya ukumbi wa Elegance uliopo Sinza Mori Dar walihudhuria watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mastaa.
Subscribe, Like, Comment na Share kwa wengine...
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli...

MANARA Awalipua Walimzushia KifoMANARA Awalipua Walimzushia Kifo
00:04:24December 19, 2017, 6:01 am
MANARA Awalipua Walimzushia Kifo

Channel: Global TV Online & Total View: 562


Tags:
Manara, Simba, Haji Manara, Kifo, Fii Kambi, Mwanachama, Simba SC, Msemaji, Afisa Habari, Kuuzushi, GLOBALTV ONLINE


Add Date: December 19, 2017, 6:01 am & Duration: 00:04:24


Likes: 4 | Dislike: 0


Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara amekanusha taarifa ambazo zinazushwa kuwa amefariki dunia na watu wasiojulikana na kuwataka watu waliofanya hivyo kufuatiliwa.

Manara amesema kuwa taarifa hizo sio za kweli na yeye ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake za kawaida na alikuwa kwenye msiba wa mwanachama wa klabu hiyo Fii Kambi.

Hata hivyo taarifa hizo zimekuwa zikienezwa mitandaoni juu ya uhai wake.
FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: http://www.instagram.com/globalpubli..

Dadeki! LEMA Ashindwa kuvumilia, Aichafua Vibaya CCM Awalipua Viongozi wa DINI bila Uoga

Channel: GILLY BONNY ONLINE TV & Total View: 10441


Tags:
Dadeki! LEMA Ashindwa kuvumilia, Aichafua Vibaya CCM Awalipua Viongozi wa DINI bila Uoga


Add Date: December 12, 2018, 2:00 am & Duration: 00:06:18


Likes: 40 | Dislike: 10


Mbunge wa Arusha Mjini CHADEMA - Godbless Lema Ameshindwa kuvumilia, ambapo ametumia mtandao wake wa Kijamii kutuishambulia CCM, Serikali na viongozi wa Dini.

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

Diamond Platnumz Awalipua ATCL kwa RaisDiamond Platnumz Awalipua ATCL kwa Rais
00:06:11December 19, 2018, 5:59 am
Diamond Platnumz Awalipua ATCL kwa Rais

Channel: Dar Newz Tv & Total View: 40


Tags:
No Video Tags


Add Date: December 19, 2018, 5:59 am & Duration: 00:06:11


Likes: 2 | Dislike: 0


Diamond Platnumz Awalipua ATCL kwa Rais
#Diamond #Atcl #rayvanny