MoviesDB

horror novel - Order by Related Videos

Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia-historia ya kweli ya mauaji ya kimbari rwanda #PART1

Channel: HMG & Total View: 728


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 9, 2019, 1:36 pm & Duration: 00:17:11


Likes: 37 | Dislike: 0


TAZAMA MFANO WA DEGE KUBWA LILILOTUA KWENYE UWANJA WA MWL.JULIAS NYERERE DAR-ES-SALAAM

Channel: MsopeTv & Total View: 40681


Tags:
No Video Tags


Add Date: April 25, 2018, 9:49 pm & Duration: 00:03:42


Likes: 91 | Dislike: 30


HIZI NI FAIDA (5) WALIZO ZIPATA TANZANIA KUPITIA UJIO WA DEGE HILO.
1.ADVERTISEMENT
Tanzania imeweza kujitangaza kupitia ndege hii kuwa wana weza kupolea ndege za ukubwa wowote kwa sasa na kwa muda wowote.

2.HOTEL OPPORTUNITIES
Hotel za kibongo zimepata fulsa na kujipatia wateja watakao Lara kwnye hotel hizo pia na watakao kula chakula hotelin mwao.

3.INCRIASEMENT OF TOURISM.
Inatarajiwa kuwa utarii utsongezeka katika sehemu mbali mbali ys nchi kwakuwa Airport yetu inauwezo wa kupokea ndege za aina yeyote.

4.INCREASEMENT OF REVENUE THROW TAX.
Tanzania imeweza kupa mapato kutokana na kodi inayo chajiwa kwa kila ndege ina luka na kushuka kwenye viwanja vyao kutokana na Aina na ukubwa wa ndege izo. Na ukizingatia ndege hiyo ni moja kati ya ndenge kubwa duniani.

5.COOPERATION BETWEEN COUNTRIES.
Nchi hizi mbili Tanzani ambapo ndege ilitua na UK ambapo ndege ilitoka, wanaweza wakakaa chini ili wazungumze biashara kama kutakuwa na uwezekana wakuanzisha safari ya kusafirisha abiria kwa nchi hizo mbili.

CONCLUSION.
Shirika hilo la ndege za FLY EMMARETES limefulaishwa sana upokezi huo wa kushitukiza na msaada ambao Tanzania imetoa kwao
CHA UMUHIMU USISAHAU KU-SUBSCRIBE ILI NTAKAPO KUWEKEA...

Adi azungumzia kutishiwa maisha kwa kuhoji Muungano

Channel: Zaima TV & Total View: 11081


Tags:
Rashid Salum Adi, Zanzibar, Tanganyika, Muungano, haki, Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki


Add Date: March 3, 2018, 12:53 am & Duration: 00:04:17


Likes: 40 | Dislike: 5


Kiongozi wa vuguvugu la Wazanzibari linalohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ameuomba Umoja wa Mataifa kumpa hifadhi ya usalama wake wakati huu kesi yao ikikaribia kutajwa kwenye Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki mjini Arusha.

CUF yatoa kauli hii rasmi ziara ya Lipumba kisiwani Pemba

Channel: Zaima TV & Total View: 19684


Tags:
CUF, Zanzibar, Nassor Mazrui, Lipumba, Juma Duni, Mahinda Mahmoud


Add Date: February 23, 2018, 12:54 pm & Duration: 00:04:51


Likes: 66 | Dislike: 13


Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Nassor Ahmed Mazrui, kimeikanusha vikali barua iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba, likidai kupokea barua ya CUF kuridhia kufanyika kwa kongamano kwenye ukumbi wa Makonyo, Chake Chake kisiwani Pemba hapo kesho (Jumamosi, 24 Februari 2018).

DIWANI WA CHADEMA AUAWA KIKATILI, ACHARANGWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA

Channel: Diso TV & Total View: 1293


Tags:
No Video Tags


Add Date: February 23, 2018, 2:29 am & Duration: 00:03:22


Likes: 4 | Dislike: 3


Diwani wa Kata ya Namawala Jimbo la Mlimba Mkoa wa Morogoro Ndg.Godfrey Luena, ameuawa kwa kukatwakatwa na mapenga ma watu wasiojulikana usiku wa Tarehe 22-Februery-2018 majira ya saa moja usiku akiwa nyumbani kwako. Hadi tunaenda mitamboni taarifa kutoka jeshi la polisi ilisema Bado ni mapema mno kujua waliohusika na mauaji hayo. R.I.P LUENA.

Chadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa KinyamaChadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa Kinyama
00:03:35February 23, 2018, 10:23 am
Chadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa Kinyama

Channel: MubasharaTV & Total View: 22143


Tags:
Chadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa, Chadema, Diwani, Alivyouwawa, Chadema Waeleza, Diwani wa Chadema, Chadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa Kinyama


Add Date: February 23, 2018, 10:23 am & Duration: 00:03:35


Likes: 53 | Dislike: 21


Chadema Waeleza Jinsi Diwani wao Alivyouwawa Kinyama

Nunua Android Smart TV Box, Tupigie: 0757 22 33 48

Tundu Lissu Achafua hali ya hewa Ghafla Mazima, Ameharibu kila kitu Ataja Watu hawa ni Balaa tupu

Channel: GILLY BONNY ONLINE TV & Total View: 1955


Tags:
Tundu Lissu Achafua hali ya hewa Ghafla Mazima, Ameharibu kila kitu Ataja Watu hawa ni Balaa tupu


Add Date: January 8, 2019, 3:00 am & Duration: 00:11:10


Likes: 12 | Dislike: 5


Mbunge wa Singida Mashariki CHADEMA Tundu Lissu amesoma waraka wake sehemu ya kwanza akiwa nchini Ubelgiji, akieleza kwa kwa kina matukio ya ukiukwaji wa sheria ambayo anadai kufanywa na serikali.

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

INASIKITISA! MWALIMU AMCHINJA MKEWE, NAYE AJIUAINASIKITISA! MWALIMU AMCHINJA MKEWE, NAYE AJIUA
00:10:02February 22, 2018, 2:56 am
INASIKITISA! MWALIMU AMCHINJA MKEWE, NAYE AJIUA

Channel: Global TV Online & Total View: 313611


Tags:
MWALIMU AMCHINJA MKE, MAUAJI, MOROGORO, MKE AUAWA, MME AJIUA, MWALIMU AJIUA, MATUKIO YA KUTISHA, SHULE YA MSINGI DUTUMI MOROGORO, MIKASA YA KUSISIMUA, Sigrida Magumba


Add Date: February 22, 2018, 2:56 am & Duration: 00:10:02


Likes: 618 | Dislike: 271


INASIKITISA! MWALIMU AMCHINJA MKEWE, NAYE AJIUA

Mwalimu Respicius Kazimbaya, aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Dutumi iliyopo Morogoro- vijijini anadaiwa kumchinja mkewe, Sigrida Magumba, kisha na yeye kujinyonga juu ya mti wa muembe huku kisa kikidaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Tukio hilo lakuhuzunisha lilijiri Ijumaa iliyopita nyumbani kwa wanandoa hao maeneo ya lukombe nje kidogo ya Mji wa Morogoro.

Baada ya mwanahabari wetu kufika katika eneo la tukio alikuta umati mkubwa wa watu ukitazama mwili wa mwalimu huyo ukining'inia juu ya mti wa muembe uliopo umbali wa takribani mita 400 kutoka nyumbani kwake.

Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari Visit http://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: http://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: http://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: http://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM:...

MH. HALIMA MDEE AONGOZA MAZISHI YA DIWANI MBEYAMH. HALIMA MDEE AONGOZA MAZISHI YA DIWANI MBEYA
00:16:56September 18, 2017, 12:02 pm
MH. HALIMA MDEE AONGOZA MAZISHI YA DIWANI MBEYA

Channel: MbeyaYetuOnlineTV & Total View: 31835


Tags:
No Video Tags


Add Date: September 18, 2017, 12:02 pm & Duration: 00:16:56


Likes: 79 | Dislike: 21


Maalim Seif atoa kauli nzito kuvamiwa MtendeniMaalim Seif atoa kauli nzito kuvamiwa Mtendeni
00:12:29February 28, 2018, 5:46 am
Maalim Seif atoa kauli nzito kuvamiwa Mtendeni

Channel: Zaima TV & Total View: 13202


Tags:
Maalim Seif Sharif Hamad, CUF, Zanzibar, Mtendeni, CCM, Mungiki, Lipumba


Add Date: February 28, 2018, 5:46 am & Duration: 00:12:29


Likes: 60 | Dislike: 13


Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua njama zilizopangwa kwenye tukio la uvamizi wa vyombo vya dola katika makao makuu ya chama chake yaliyopo Mtendeni, Mjini Unguja, wiki iliyopita.

Fathiya Zahran Salum: Mwanamke aliyekataa kuvuliwa nguo mahabusu

Channel: Zaima TV & Total View: 63065


Tags:
Zanzibar, Tanzania, Mauaji ya Januari 2001, Fathiya Zahran Salum


Add Date: February 26, 2018, 2:03 am & Duration: 00:14:08


Likes: 209 | Dislike: 44


Licha ya kwamba maafa ya Januari 2001 visiwani Zanzibar yamepita, lakini ukweli ni kuwa yamebakia hadi leo ndani ya nafsi na miili ya watu. Mmojawapo ni Bi Fathiya Zahran Salum ambaye siku ya tarehe 26 Januari 2001 imebakia kuwa na alama kubwa kwake na kwa mustakbali wake. Lakini alisimama na anaendelea kusimama hadi leo. Sikiliza simulizi yake hapa.

Viongozi 5 wa Uamsho 'waachiliwa'Viongozi 5 wa Uamsho 'waachiliwa'
00:02:14March 4, 2018, 4:40 am
Viongozi 5 wa Uamsho 'waachiliwa'

Channel: Zaima TV & Total View: 94312


Tags:
Uamsho, Polisi, Zanzibar, haki


Add Date: March 4, 2018, 4:40 am & Duration: 00:02:14


Likes: 216 | Dislike: 49


Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar waliokuwa wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha zaidi ya wiki tatu sasa, wameachiliwa na kurejea majumbani kwao katika mazingira pia ya kutatanisha.

Duniani Leo January 8, 2019Duniani Leo January 8, 2019
00:28:25January 8, 2019, 9:24 am
Duniani Leo January 8, 2019

Channel: VOA Swahili & Total View: 10131


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 8, 2019, 9:24 am & Duration: 00:28:25


Likes: 58 | Dislike: 7


Nchi mbalimbali duniani zashangazwa kufuatia kujiuzulu ghalfa kwa rais wa benki kuu ya dunia, Jim Yong Kim miaka mitatu kabla ya muda wake kumalizika. Waziri wa mawasiliano Guy Betrand Mapangou amesema vikosi vya usalama vinaendelea kufanya doria katika mji mkuu wa Libreville, Gabon
Originally published at - http://www.voaswahili.com/a/4733828.html

CUF Pemba wawapa tahadhari Lipumba, polisiCUF Pemba wawapa tahadhari Lipumba, polisi
00:05:47February 23, 2018, 7:56 am
CUF Pemba wawapa tahadhari Lipumba, polisi

Channel: Zaima TV & Total View: 14937


Tags:
CUF, Lipumba, Zanzibar, Saleh Juma, Pemba, Chake Chake


Add Date: February 23, 2018, 7:56 am & Duration: 00:05:47


Likes: 41 | Dislike: 9


Chama cha Wananchi (CUF) kisiwani Pemba kimetoa onyo kali dhidi ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, Prof. Ibrahim Lipumba, kwamba asijaribu kukanyaga kisiwani huko kuendesha kile kinachoitwa "kongamano la vijana" kwenye ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo, Chake Chake, siku ya Jumamosi ya tarehe 24 Februari 2018.

NI NANI ANAE LAZIMIWA NA SWALA YA IJUMAA P- 1NI NANI ANAE LAZIMIWA NA SWALA YA IJUMAA P- 1
01:01:37January 8, 2019, 10:02 pm
NI NANI ANAE LAZIMIWA NA SWALA YA IJUMAA P- 1

Channel: Izudin Alwy Ahmed & Total View: 476


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 8, 2019, 10:02 pm & Duration: 01:01:37


Likes: 22 | Dislike: 1


Hakikisha Ume Subscribe Katika Youtube Yangu Ili Upate Darsa Zangu Mpya Zinapotoka

—————————————————————————————————-

Audio/Sauti ya Video Hii inapatikana Katika Channel Yangu ya
Application ya Telegram,Download kisha bofya link hii http://ift.tt/2BYwMZL

—————————————————————————————————-

Ikiwa una Suali,Wasiliana Nami Kupitia

•WhatsApp +254-772-611-120

•Voice Call +254-722-611-120

Kwa maelezo zaidi wasiliana na +254-701-662-152

Polisi Morogoro linawashikilia askari 3 na raia 1 kwa kupatikana na fuvu la kichwa cha binadamu.

Channel: ITV TANZANIA & Total View: 15959


Tags:
Morogoro, polisi, fuvu la kichwa, itv, itv habari, habari


Add Date: May 8, 2013, 11:05 am & Duration: 00:02:46


Likes: 20 | Dislike: 4


Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikia askari polisi watatu wa wilayani Kilosa na raia mmoja kwa kupatikana na fuvu La kichwa cha binadamu anaedaiwa kuuwawa hivi karibuni.

KAMANDA MAWAZO- Dakika Za Mwisho Katika Kampeni, Kabla ya Mauti. #AlKabellergeShow

Channel: EIKEI TV & Total View: 66382


Tags:
chadema, Al Makono, Tanzania (Country), John Magufuli, millard ayo, siasa, Mwanza (City/Town/Village), Kamanda mawazo, Edward Lowassa (Politician), Jakaya Kikwete (Politician), Maktedis tv


Add Date: November 14, 2015, 2:10 pm & Duration: 00:03:27


Likes: 118 | Dislike: 19


Hii ni sehemu ya hotuba ya mwanaharakati na mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita, marehemu KAMANDA MAWAZO enzi za uhai wake..pamoja na sehemu ya picha za tukio lililopelekea kupoteza uhai wake. Apumzike kwa amani.

Hii ndiyo sababu za Zitto kukamatwa?Hii ndiyo sababu za Zitto kukamatwa?
00:04:55February 22, 2018, 1:58 pm
Hii ndiyo sababu za Zitto kukamatwa?

Channel: Zaima TV & Total View: 3039


Tags:
Zitto Kabwe, ACT Wazalendo, Polisi


Add Date: February 22, 2018, 1:58 pm & Duration: 00:04:55


Likes: 10 | Dislike: 0


Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuber Kabwe, amekuwa kiongozi wa karibuni kabisa wa upinzani nchini Tanzania kutiwa nguvuni na jeshi la polisi, kwa sababu ambayo bado hazijafahamika. Zitto, ambaye alikuwa kwenye ziara maalum ya kichama mkoani Morogoro, alikamatwa huko usiku wa Alhamis (22 Februari 2018).

Akwilina Akwiline azikwa kijijini kwao MaranguAkwilina Akwiline azikwa kijijini kwao Marangu
00:03:36February 23, 2018, 10:36 am
Akwilina Akwiline azikwa kijijini kwao Marangu

Channel: Azam TV & Total View: 80946


Tags:
Akwilina Akwiline, Joyce Ndalichako, NIT, Marangu Kilimanjaro, Elimu


Add Date: February 23, 2018, 10:36 am & Duration: 00:03:36


Likes: 117 | Dislike: 67


Mazishi ya mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwilin yamefanyika leo mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako pia amechukua jukumu la kumsomesha mdogo wa Akwilina, Angela.

KIMENUKA! Polisi Walivyowatimua Chadema Kwenye Ibada Ya Lissu

Channel: Global TV Online & Total View: 77397


Tags:
Chadema, Tundu Lissu, Chadema na Polisi, Jeshi la Polisi, Polisi Wazuia Ibada ya Lissu, Polisi vs Chadema, TP SInza, bavicha, Murilo, Kamanda wa Polisi Kinondoni


Add Date: September 17, 2017, 3:25 am & Duration: 00:06:12


Likes: 236 | Dislike: 65


SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni wanachama wa Chadema wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuhojiwa kuhusu mpango wa maombezi uliopangwa kufanyika katika uwanja wa Tip -Sinza, wilayani Ubungo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne aliyekuwa uwanjani hapo na kikosi cha askari zaidi ya 25 amesema watu hao walikamatwa saa 3:40 asubuhi wakiwa eneo hilo.

“Tunawashikilia na tutawahoji kama wana uhusiano na kile kilichopangwa kufanyika hapa kwa sababu kilishapigwa marufuku. Kama hawana uhusiano tutawaachia,” amesema Kamanda Jumanne.
Amesema, “Atakayetaka kujaribu aje ila cha moto atakiona kwa sababu jitihada za kuzuia watu wema wasikanyage hapa zimeshafanyika sasa wanakuja kufuata nini.”

Katika eneo hilo, polisi walikuwa wakiziondoa bajaji wakiwataka madereva wasiziegeshe hapo kwa siku ya leo.
Baadhi ya polisi wameonekana wakiwa na mabomu ya kutoa machozi na walifika uwanjani hapo wakiwa kwenye magari aina ya Toyota Land Cruiser.

Uwanjani hapo hivi sasa ni kweupe kukiwa hakuna maandalizi yoyote kuonyesha kuwa patakuwa na maombezi.
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo –Chadema (Bavicha) jana Jumamosi lilitoa taarifa likisema leo...

VIDEO: KATIBU CCM TAIFA DR BASHIRU AWAUMBUA DIALO NA MECK SADICK UKABILA WATAJWA.

Channel: Yuhoma Educational TV & Total View: 1394


Tags:
No Video Tags


Add Date: January 9, 2019, 4:16 am & Duration: 00:07:36


Likes: 9 | Dislike: 0


#ccm#mwanza#
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dr Bashiru Ally amefichua siri iliyojificha kwa kipindi kirefu juu ya mgogoro wa kisisasa uliopo katika ya mwenyekiti wa CCM Mwanza dhidi ya Meck Sadick

SAKATA LA MKURANGA: Wauaji waliahidi kuua viongozi 18, HESABU IMETIMIA!

Channel: Global TV Online & Total View: 86166


Tags:
Mauaji ya Mkuranga, mauaji ya Bunduki, Matukio ya kutisha, Magaidi, Mauaji ya Viongozi wa serikali, Ukatili wa kutisha, SAKATA LA MKURANGA:, #VIONGOZI 18 Waua.


Add Date: April 1, 2017, 6:37 am & Duration: 00:06:18


Likes: 132 | Dislike: 42


#SAKATA LA MKURANGA. #VIONGOZI 18 Wauawa. #Idadi Imetimia!
SUBSCRIBE NOW: http://www.youtube.com/user/uwazi1
Hesabu imetimia! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, baada ya lile kundi lililoapa kutoa roho za viongozi 18 wa vijiji na vitongoji vya wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, kutekeleza tukio la mauaji ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tawi la Makondeko Kijiji cha Ikwiriri Kaskazini, Emmanuel Lukanga.
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
Tukio hilo lilijiri usiku wa Machi 28, mwaka huu ambapo watu watatu waliokuwa wameopakizana kwenye bodaboda, walimvamia kiongozi huyo nyumbani kwake na kumpiga risasi mbili, moja kwenye sikio la kulia na kutokea upande wa pili, na ya pili ubavuni na kutokea upande wa pili, ambapo alidondoka chini na kupoteza maisha papo hapo.
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
Muda mfupi baadaye, polisi walifika eneo la tukio ambapo waliuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuuhifadhi kwenye kituo cha afya, kibiti....

Huyu ndiye Mzanzibari anayeushitaki MuunganoHuyu ndiye Mzanzibari anayeushitaki Muungano
00:09:25February 18, 2018, 3:45 am
Huyu ndiye Mzanzibari anayeushitaki Muungano

Channel: Zaima TV & Total View: 17325


Tags:
Rashid Salum Adi, Muungano wa Tanzania, Zanzibar, Mahama ya Afrika Mashariki


Add Date: February 18, 2018, 3:45 am & Duration: 00:09:25


Likes: 51 | Dislike: 11


Taarifa Nyingine nzito tuliyoipata Asubuhi hii, ZITTO KABWE Alipuka Vibaya Inasikitisha sana

Channel: GILLY BONNY ONLINE TV & Total View: 1486


Tags:
Taarifa Nyingine nzito tuliyoipata Asubuhi hii, ZITTO KABWE Alipuka Vibaya Inasikitisha sana


Add Date: January 9, 2019, 8:00 pm & Duration: 00:12:29


Likes: 20 | Dislike: 5


Sakata la Spika wa Bunge, Job Ndugai kumuita Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad mbele ya kamati ya maadili limechukua sura mpya baada ya wabunge kujipanga kwenda mahakamani

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

MUSIBA Akinukisha Vibaya Muda huu! "Zitto amekimbiwa na wake zake, kuitwa shoga kuitwa ni kawaida"

Channel: GILLY BONNY ONLINE TV & Total View: 3112


Tags:
MUSIBA Akinukisha Vibaya Muda huu!, kuitwa shoga kuitwa ni kawaida


Add Date: January 8, 2019, 2:00 am & Duration: 00:05:42


Likes: 14 | Dislike: 12


Mkurugenzi wa Kampuni ya CZI, Cyprian Musiba akizungumza na waandishi wa habari Dar- es Salaam amesema yeye kuitwa shoga ni jambo la kaiwada huku akimlipua vibaya Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe.

CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

pigo CHADEMA: diwani mwingine AUAWA kwa kukatwa mapanga

Channel: mecson reuben & Total View: 21570


Tags:
No Video Tags


Add Date: February 23, 2018, 2:45 am & Duration: 00:04:48


Likes: 62 | Dislike: 12


bonyeza''SUBSCRIBE'' kwa youtube, ''MECSON REUBEN’’ hapo chini share,like na comment kupata habari leo matukio na vichekesho zaidi kila sikU

CHADEMA JESHI LAO LAANIKWA: Matukio makubwa matatu hatali ya CHADEMA

Channel: DEEPEN TZ & Total View: 103170


Tags:
DEEPEN


Add Date: March 4, 2018, 7:50 pm & Duration: 00:03:15


Likes: 206 | Dislike: 92


Karibu sana ndani ya DEEPEN TZ.
cntacts:

E-mail: [email protected]

Deepen TZ gives you what you deserve to get at the right moment. Give your views please